Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Mungu awabariki hawa wapalestina wazalendo ambao wanawasaidia watateule Israel kuwapa taarifa za kijasusi Mossad na Shin Bet Tiss ya Israel.
Kupitia hao waarabu waislam wapalestina wazalendo...
Anaitwa Abiud Pallangyo mtoto wa mpigania uhuru namba moja kanda ya kaskazini.
Amesema sasa imetosha na kutamka hadharani kuwa Mbowe ni mwizi na kibaka aliyepokea rushwa kutoka kwa Mama Abdul...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi.
Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
Habari zenu wakuu hapa kati na kakazi hapa posta nafanya
Yaani unakutana na kabinti kazuri kanakusalimia shikamoo
Wale wazee wanajibu salama za kwako, hivi mmelogwa
Mi kijana naitikia marahaba...
Nashangaa sana na inashangaza sana
Ni juzi tu nimeona bodaboda zenye picha yake nchi nzima kutoa kwa machawa wake
Bodaboda zenye thamani ya karibia bilioni 60!!
Rais Samia kwa jina lake na pesa...
Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.