Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Gharama za vifurushi na ukata vimenifanya nibadili resolution ya kuview Youtube kutoka 720HD to 144 Na umasikini huu kuna mtu ananichukia na kuniundia magenge!! Walimwengu sio bora Wali-maharage
3 Reactions
8 Replies
35 Views
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
3 Reactions
41 Replies
482 Views
Kiukweli viongozi huwa wanatukosea sana wanapokalia dhamana za Madaraka na hatunaga namna ya kuwakemea kwa sababu wanajilinda mno kikanuni Mkuu wa KKKT mstaafu Askofu Dr Shoo amefungua njia kwa...
1 Reactions
11 Replies
63 Views
Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Boda...
5 Reactions
119 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa Nabi ameamua kwenda kufundisha klabu ya Kaizer chief baada ya kufikiana makubaliano ya pande zote mbili. Baada ya kuifundisha Yanga kwa misimu miwili yenye mafanikio kwa ngazi ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
8 Reactions
26 Replies
820 Views
Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30...
33 Reactions
363 Replies
16K Views
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar...
72 Reactions
6K Replies
425K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,811
Posts
49,842,207
Back
Top Bottom