Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imekuwa kawaida kwa mods kufuta uzi kwa sababu yawezekana nao wamekuwa wafuasi wa watu fulani hapa JF. Mkuu Max, JF umeijenga katika misingi ya hoja, haki, kuheshimiana na kubishana kwa hoja sio...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS...
12 Reactions
14 Replies
292 Views
Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
3 Reactions
10 Replies
128 Views
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
6 Reactions
88 Replies
1K Views
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje...
3 Reactions
19 Replies
317 Views
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
3 Reactions
40 Replies
607 Views
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi. Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,931
Posts
49,845,772
Back
Top Bottom