Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
2 Reactions
48 Replies
412 Views
Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili TCRA watunge...
4 Reactions
21 Replies
618 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara. Sehemu yenyewe haina Mabenchi ya Kukaa Ni njia ya Vumbi Hakuna Kikinga mvua wala...
5 Reactions
21 Replies
257 Views
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
21 Reactions
195 Replies
4K Views
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa...
7 Reactions
24 Replies
439 Views
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al...
2 Reactions
29 Replies
235 Views
Iko wapi hi hbr je hajaijadili humu ? Kwaninj huyu dogo anataka kumuonga lissu kwa lipi na kwani amuonge pesa ili afaidi nn Lissu amesema "nimemtimua abduli na pesa zake anazotaka kunipa "...
2 Reactions
10 Replies
29 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,697
Posts
49,838,111
Back
Top Bottom