Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.
Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa...
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji.
Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za...
Mheshimiwa Makonda, Salaam.
Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe...
Natamani some days itokee timu nyingine pale nafasi ya 1 na ya 2 isiwepo SSC wala Yanga, tukifika hiyo hatua ni wazi kuwa ligi yetu itakuwa ni bora.
Timu kama Li SSC , sajili za mchongo, scouting...
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu.
Inapelekea Makonda hata akifanya kitu...
Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali...
Job no: 497434
Work type: Regular Full-Time
Location: Tanzania – Geita
Categories: Program Management/Implementation/Support
ICAP at Columbia University, a global health leader situated within...
Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara. Naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.