Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa. Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
4 Reactions
50 Replies
587 Views
Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
1 Reactions
10 Replies
118 Views
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal...
2 Reactions
16 Replies
128 Views
Wakuu nipo nje ya mada ila naombeni msaada. Ijumaa mchana kuna watu waliingia kwangu wakafungua geti na milango (sijui funguo walipata wapi) wakaniibia vitu vyangu then wakafunga milango kama...
0 Reactions
8 Replies
27 Views
Nani kaelewa hii code ya hawa watu
3 Reactions
22 Replies
153 Views
Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni...
12 Reactions
111 Replies
2K Views
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni...
37 Reactions
158 Replies
9K Views
Hakuna jinsi. Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S. Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,651
Posts
49,836,482
Back
Top Bottom