Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Wakuu nipo nje ya mada ila naombeni msaada.
Ijumaa mchana kuna watu waliingia kwangu wakafungua geti na milango (sijui funguo walipata wapi) wakaniibia vitu vyangu then wakafunga milango kama...
Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa.
Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha...
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram...
Mdororo au anguko la HopHop Tz!?
Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu".
Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.