Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
0 Reactions
13 Replies
277 Views
Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya...
10 Reactions
237 Replies
18K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
3 Reactions
15 Replies
373 Views
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi). Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana...
30 Reactions
207 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
6 Reactions
61 Replies
496 Views
Kabati za nguo milango miwili zipo Bei 270000 tu Ofisi ipo Goba ila popote inakufikia 0623265088
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
1 Reactions
7 Replies
37 Views
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho. Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
121 Reactions
2K Replies
301K Views
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
26 Reactions
106 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,592
Posts
49,835,181
Back
Top Bottom