Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo vipi wakuu? Kutokana na miangaiko ya utafutaji wa kila siku; imenibidi kutenga angalau siku mbili ndani ya wiki, nikashangae kwa kubadilisha mazingira ya hapa na pale; angalau nifurahie...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Wanaukumbi. 🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI. “Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu Katika jinai ya kikatili ambayo...
2 Reactions
14 Replies
301 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).. Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana...
14 Reactions
40 Replies
825 Views
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu. Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia...
1 Reactions
32 Replies
482 Views
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Niandike nini hapa, zaidi ya kukutaka utafute pesa kwa njia zote isipokuwa kuvunja kanuni za maisha?.
1 Reactions
13 Replies
263 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
40 Reactions
294 Replies
4K Views
Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la...
2 Reactions
7 Replies
47 Views
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu. Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo...
8 Reactions
20 Replies
548 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,628
Posts
49,835,866
Back
Top Bottom