Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume, Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
13 Reactions
74 Replies
1K Views
Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
19 Reactions
199 Replies
3K Views
Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
11 Reactions
120 Replies
1K Views
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Kati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine. Hawa mabwana wanaona...
8 Reactions
18 Replies
348 Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
13 Reactions
116 Replies
3K Views
Nimeona sehemu kuwa utofauti wa mazingira ya kijijini unaweza kumuongezea mwajiriwa kigezo cha kuongezwa fedha ya mshahara.naomba kuthibitisha kutoka kwenu.
0 Reactions
4 Replies
15 Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
19 Reactions
242 Replies
7K Views
Waziri wa mambo ya nje January Makamba ameliambia Bunge kuwa Nchi 6 zimesimamishwa na Umoja wa Africa kutokana na Jeshi kupindua Serikali halali za kidemokrasia Nchi hizo ni Burkina Faso, Niger...
3 Reactions
21 Replies
654 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,091
Posts
49,738,003
Back
Top Bottom