Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa...
5 Reactions
19 Replies
439 Views
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom masaki Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje...
2 Reactions
8 Replies
54 Views
Tunayo furaha kuwataarifu kwamba sasa tunasafirisha mizigo kutoka China kuja Tanzania kwa ufanisi mkubwa na kasi ya ajabu. Huduma yetu ya usafirishaji kwa njia ya ndege inahakikisha kwamba mzigo...
3 Reactions
16 Replies
150 Views
Habari wakuu natumaini muko vizuri. Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana...
15 Reactions
38 Replies
695 Views
Kuishi na mwanaume anayejua mapenzi huwazi sex kila mara ila unawaza mume wako atarudi saa ngapi akupe utramu wa hali ya juu. Kuna tofauti ya sex tu na haja zikatimizwa kibabe na ule utamu...
21 Reactions
188 Replies
4K Views
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram...
7 Reactions
109 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema. Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa...
28 Reactions
670 Replies
39K Views
Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu simba, Simba ni ya 7 Afrika, wachezaji wa simba wanagombaniwa na klabu kubwa kama Al Ahly, n.k...
2 Reactions
25 Replies
235 Views
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote...
28 Reactions
53 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,694
Posts
49,837,965
Back
Top Bottom