Salute!
Haraka haraka bila kupoteza muda niruke kwenye mada husika ndugu zangu...
Siku kama 2 zilizopita nilipost uzi hapa JF forums, LINK: Ontario's mere prediction about the future, yajayo...
Ulishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika...
Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Twitter, Julius Mmasi kutoka Kenya ameweka wazi jinsi rafiki yake alivyovunja ndoa yake iliyodumu kwa muda miaka 24 baada tu ya bwana huyo kuamua kwenda kufanya...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwenezi wa CCM Dr Makalla amesema Tundu Lisu anapohutubia Kwamba Rais Samia amegawa pikipiki nchi nzima anaisaidia CCM kueleweka kwa wananchi Uimara wake
Rais Samia ni Mwenyekiti wa CCM...
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).
Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi.
1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.