Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanawake ni viumbe vya hisia. 90% ya matendo yao yanaendeshwa na hisia zao. Ndio maana watachukua hatua kila wakati kabla ya kufikiri na baada ya kusababisha uharibifu mwingi, watakuja kuomba...
14 Reactions
67 Replies
735 Views
Humu wapo members Wana likes 1000 ambazo kiuhalisia zingekuwa pesa zingeweza kununulia vocha ya buku. Wengine wana likes mpaka milioni 1 huko ambazo zingeweza kununulia smartphone kali. Mimi...
4 Reactions
15 Replies
100 Views
Au chadema au lisu wameona watanzania hawana reasoning capacity wakaona waanze kiwadanganga baada ya kuona mama anafanya kazi zinazogusa kila mtu. Ndo mana jpm alitaka kliua mana ni liongo na lijuaji
0 Reactions
7 Replies
12 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu. Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia...
0 Reactions
14 Replies
204 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
2 Reactions
28 Replies
190 Views
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu. Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo...
6 Reactions
17 Replies
398 Views
Niandike nini hapa, zaidi ya kukutaka utafute pesa kwa njia zote isipokuwa kuvunja kanuni za maisha?.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari zenu waungwana.Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani.Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza.Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,861,581
Posts
49,834,790
Back
Top Bottom