Mafia nimekutana na changamoto ya Ulawiti na Ubakaji. Katika wilaya zote ambazo nimehudumu sijawahi kukutana na changamoto kubwa ya Ulawiti na Ubakaji kama ambavyo ipo Mafia.
Mwalimu mwingine wa...
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
Kila mtoa huduma ambae ana sadikika ana nguvu kubwa ya uponyaji anaweka makazi na huduma yake katika majiji makubwa, why?
Ina maana Hakuna mtumishi mwenye karama kubwa alie inuliwa tandahimba...
Kwa Ufupi,
Mara tu baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kumteua David Kafulila kuwa mkuu wa Mkoa Simiyu.
Kafulila akajielekeza moja kwa moja kwenye kupambana na Walanguzi wanaofisadi zao...
Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha.
Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa...
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya...
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
Kutoka Dodoma Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amezindua matumizi rasmi ya magari ya umeme Kwa Wananchi wanapotaka kuyatumia.
https://www.instagram.com/p/C7nwUkRtb0m/?igsh=MTltOXdyenk3cjZieA==...
Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.