Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
20 Reactions
189 Replies
2K Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
61 Reactions
158 Replies
6K Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
17 Reactions
544 Replies
8K Views
...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa...
28 Reactions
81 Replies
2K Views
Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani BREAKING NEWS!!!! This thread is started...
7 Reactions
432 Replies
162K Views
mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al...
5 Reactions
46 Replies
735 Views
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine. 2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
35 Reactions
152 Replies
3K Views
........Hello wana JF Mwenzenu simuelewi my bro, kipindi nilivyotaka kuolewa alipinga sana kwa kigezo bado nasoma japokuwa mie sikuona tatizo lolote kwa elimu ninayosoma haipo ngumu sana hadi...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
@SimbaSCTanzania Muda huu nimekosa usingizi, kwani nalala ili iweje ikiwa baadhi ya watanzania wanamaswali mengi wasiyojua majibu yao. Viongozi wa Simba nani kawaroga kiasi kwamba mnajijali...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Ni bora, vyema, uungwana na uzalendo mkubwa kila Mtanzania akajifunza kuheshimu Mamlaka zilizopo kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muunga wa Tanzania. Ukikaa kwenye kisimbusi chako...
3 Reactions
77 Replies
925 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,762
Posts
49,840,584
Back
Top Bottom