Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mama Mzungu, Jun 25, 2016.

 1. Mama Mzungu

  Mama Mzungu Member

  #1
  Jun 25, 2016
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 28
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 15
  Inasemekana ndoa ya Mange Kimambi imefika ukingoni. Ni habari ya kusikitisha sana kwa wapendwa wake ila kwa wengine ni furaha isiyo na kifani
  [​IMG]

   
 2. y-n

  y-n JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2016
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,778
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Sisi wa huku ushetu hatuwezi kuelewa hii habari.
  Ndio nani huyo??
  Sisi huku tunamfahamu Zari tu.!
   
 3. Mama Mzungu

  Mama Mzungu Member

  #3
  Jun 25, 2016
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 28
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 15
  sasa huyu hampendi Zari. Huyu ni muke ya Mzungu mweny pesa. Upo hapo.
   
 4. M

  Molembe JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2016
  Joined: Dec 25, 2012
  Messages: 7,828
  Likes Received: 4,453
  Trophy Points: 280
  Kwanza huyu mzungu alikuwa mvumilivu sana mimi siwezi kuoa mwanamke kama yule arudi Bongo tulisongeshe.
   
 5. Kaveli

  Kaveli JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2016
  Joined: Dec 4, 2012
  Messages: 3,306
  Likes Received: 2,635
  Trophy Points: 280
  Arudi bongo sasa aje kututajia vizuri ile orodha ya wauza sembe.
   
 6. tpaul

  tpaul JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2016
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 13,627
  Likes Received: 4,001
  Trophy Points: 280
  mkuu, mange kunambi ni nani na alimuoa nani na anakaa mtaa gani? kwa mtogole, mfugambwa, mama zakaria au bi nyau?
   
 7. Mama Mzungu

  Mama Mzungu Member

  #7
  Jun 26, 2016
  Joined: Jun 20, 2016
  Messages: 28
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 15
  Mange Kimambi ni mke WA Mzungu, aliolewa na Lance, anakaa LA marekani upo hapo
   
 8. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2016
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,218
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Ina maana sasa atarudi Bongo?
   
 9. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2016
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 37,093
  Likes Received: 4,805
  Trophy Points: 280
  Kazidi kujidhalilisha kuweka yale ma chats yake na Mumewe... oupsss aliekua mumewe ....
   
 10. Loeli

  Loeli JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2016
  Joined: Jan 26, 2014
  Messages: 969
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 180
  Mhhhh hakika alimtukana mno Lowassa. Rudi tuje tukutukane kidogo. Pia kwa Tanzania ametukana wengi mno maarufu hivyo ni bora abaki huko abebe box.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2016
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,206
  Likes Received: 2,524
  Trophy Points: 280
  arudi sasa bongo tumpe kipigo
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Jun 26, 2016
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,442
  Likes Received: 1,936
  Trophy Points: 280
  Nifah mpwa wangu pita huku
   
 13. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2016
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,259
  Likes Received: 2,926
  Trophy Points: 280
  Msufurahie matatizo ya mtu
   
 14. wasumu

  wasumu JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2016
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 1,913
  Likes Received: 1,529
  Trophy Points: 280
  ni nan uyooo yaaan jf kila mtu maarufu je mwakalel anajulikana
   
 15. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2016
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 32,432
  Likes Received: 13,519
  Trophy Points: 280
  Sawa
   
 16. makilo

  makilo JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2016
  Joined: Dec 15, 2015
  Messages: 977
  Likes Received: 1,537
  Trophy Points: 180
  aje adai bunge live hapa hapa bongo tuone.
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jun 26, 2016
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,134
  Likes Received: 2,413
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu ni nini sasa??
  Kwani yeye ndio mwanamke wa kwanza duniani kupokea au kutoa talaka?
   
 18. LICHADI

  LICHADI JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2016
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 743
  Likes Received: 1,299
  Trophy Points: 180
  Huyu dada ananishangazaga sana wadau yaani mimi huwa simuelewi,utamkuta masaa 24 kazi yake ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii ,mda wote yupo insta na wasap alafu naambiwa ni mke wa mtu khaaa..hata mimi naamini huyu mzungu alikuwa mvumilivu kweli kweli.
  wakuu huyu dada kipindi cha kampeni kama mlikuwa mnafuatilia post zake instagram ni mitandao mingine ya kijamii kwenye account zake alikuwa mstari wa mbele kuishabikia ccm na huyuhuyu ndio aliyemsema lowassa kajinyea wala si mwingine,,lakini cha kushangaza juzi kati hapa...amekigeuka chama chake gafla na kuugeukia upinzani,,,sikuizi anajifanya kupinga chama chake ,now amefikia kumponda hadi magufuli aliyekuwa akimsifia kuwa ni dikteta na juzii nilimnukuu akisema kuwa wabunge wa ccm ni majipu......vilevile wakuu huyu dada namfananisha na mwanajeshi mwoga anayejifanya kupigania haki za nchi yake wakati yeye kajificha kwenye nchi ya adui
  Huwezi pigania haki za nchi yako wakati unajijua umejificha kwenye nchi za watu
  Huyu dada nna wasiwasi nae atakuwa anakula bangi au hana akili timamu
   
 19. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2016
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,732
  Likes Received: 33,388
  Trophy Points: 280
  Hatimae ha ha ha ha make alikua anabisha, pole zake
   
 20. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2016
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 4,056
  Trophy Points: 280
  Ha ha nadhan kwa sabab alikua anawakoga sana nakudai wapare hawaachwi
   
Loading...