Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram...
Wanaukumbi.
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS- MAUAJI YA NUSSEIRAT NA OPERESHENI YA UOKOAJI WA ISRAELI.
“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu
Katika jinai ya kikatili ambayo...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana!
Pamoja na kushambuliwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wazee kwema!
Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa.
Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu...
Nilikuwa naweza kutuma msg kutoka mitandao mingine ay yahoo, facebook , X etc kwenda kwenye yahoo mail yangu KUPITIA GOOGLE E-MAIL YANGU. eg nikitaka kutuma msg toka whatsapp nina highlight...
Wakati familia nyingi za nchi zilizoendelea zikijitahidi kuwalea kwa umakini watoto wenye tabia za uintrovert, hali ni tofauti huku Uswahilini. Watoto introvert hukumbana na kadhia ya kulazimishwa...
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.
=======
Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
Salaam, Shalom!!
Kwanza nianze Kwa kuweka wazi kuwa, Mimi Si mwanachama wa chama chochote Cha siasa, na ikiwa Kuna yeyote mwenye ushahidi wa Rabbon kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.