Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
16M Views
Nguvu ya muisreli inaanza kuwafikia magaidi. Sasa wamekosa pa kukimbilia, Mateka wanaokolewa mmoja baada ya Mwingine kama ilivyo ahidiwa na Serikali ya Netanyahu. Noa Argamani, ambaye utekaji...
11 Reactions
241 Replies
5K Views
Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha...
9 Reactions
29 Replies
982 Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
6 Reactions
39 Replies
921 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
7 Reactions
299 Replies
5K Views
Hupaswi kusubiria hadi ajue kuongea ndipo uanze kumfundisha. Unaweza kuanza kumfundisha tokea akiwa na umri wa siku moja. Miongoni mwa mambo ya kumzoesha mapema ni pamoja na: 1. Kunawa mikono...
1 Reactions
6 Replies
70 Views
Wakuu, Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
10 Reactions
67 Replies
1K Views
WAIRAQ au Wairaki ni kabila kubwa linalozungumza lugha jamii ya Wakushi na linalopatikana Mkoa wa Manyara wilaya za Mbulu, Babati, Hanang na Mkoa wa Arusha katika wilaya ya Karatu. Watu wa kabila...
15 Reactions
72 Replies
16K Views
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
3 Reactions
51 Replies
606 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,475
Posts
49,831,295
Back
Top Bottom