Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA...
Nimesikitishwa sana baada ya site zote za pornography kufunguliwa kipindi hiki watoto wako likizo.
Nimuda mwafaka waziri anaehusika atoke hadharani aseme sababu au ablock site zote za x videos...
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly...
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini?
1...
#Taarifa kutoka katika vyanzo mbali mbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
Habari za jioni.
Ndugu zangu kila siku nawaza mambo mengi ambayo tukitafuta ufumbuzi nahisi yatapunguza matatizo na changamoto zinazosumbua jamii zetu.
Napendekeza nchi yetu kupitia bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.