Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua. Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone...
20 Reactions
262 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
0 Reactions
6 Replies
200 Views
Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua...
12 Reactions
61 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
104 Reactions
221K Replies
17M Views
Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule...
6 Reactions
105 Replies
2K Views
Wasaalam. Ni declee interest na mimi ni Mtumishi wa Umma. Hili swala linaloendelea Arusha likiratibiwa na RC wa Arusha ni uthibitisho tosha sisi watumishi wa umma wengi wetu tuko Incompetent...
4 Reactions
23 Replies
293 Views
" Chini ya awamu ya sita kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania tumefanyiwa Credit rating ( solicited ) kama Taifa. Hata hivyo Tanzania tumefanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za...
19 Reactions
143 Replies
1K Views
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania. Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen...
7 Reactions
17 Replies
933 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
2 Reactions
11 Replies
250 Views
Wadau mko poa!! I am doing well. Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu...
4 Reactions
19 Replies
421 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,423
Posts
49,746,197
Back
Top Bottom