Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am...
1 Reactions
18 Replies
295 Views
Maandalizi yote ya Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa yale ya ndani ya Ukumbi, Nje ya Ukumbi, pamoja na mazingira yote kabisa yamekamilika. Wajumbe wote kwa wingi wa 100% wamewasili na kwa...
3 Reactions
10 Replies
77 Views
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji aziza key sisi kama wanasimba tunamuona okw kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na...
1 Reactions
4 Replies
46 Views
Mtoto wangu Ana miezi Saba juzi mama ake amenambia hajawahi kumuona alisimamisha uume Ilinichanganya Sana akili ilibidi nijipe mda nkakaa nae Kama masaa mawili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
7 Reactions
47 Replies
362 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
520K Replies
30M Views
About the role: Burn is seeking a mission-driven candidate to serve as the Sales Manager for BURN’s new line of electric cooking products. This role is an exciting opportunity to help shape and...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya. Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua...
7 Reactions
13 Replies
139 Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
8 Reactions
14 Replies
335 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
93 Replies
878 Views
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne. 1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu..... 2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa...
1 Reactions
6 Replies
154 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,029
Posts
49,736,057
Back
Top Bottom