Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya...
7 Reactions
19 Replies
496 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana...
3 Reactions
7 Replies
117 Views
Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne. 1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu..... 2. Mpira ni mchezo wa makosa... tumefanya...
1 Reactions
4 Replies
69 Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
244 Replies
14K Views
Nimekaa mitaa mingi maeneo ya kipato cha kati na cha juu hata kufikia kupata kwangu. Changamoto nyingi niliyokumbana nayo ni wakati unatafuta sehemu ukakae peke yako ukatafakari hili na lile...
11 Reactions
74 Replies
615 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
122K Replies
7M Views
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote...
0 Reactions
19 Replies
483 Views
Kwa niaba yangu binafsi, na wale wote wenye mapenzi mema kwa nchi na taifa kwa ujumla. Nawashukuru watanzania na wananchi wenzangu, kwa kuiunga mkono serikali sikivu ya awamu ya6, chini ya...
1 Reactions
24 Replies
150 Views
Natumai wazima wote,. Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae (Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
38 Reactions
432 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,017
Posts
49,735,487
Back
Top Bottom