Vijana wengi wanatazama tv si kwa lengo la kupata elimu na habari muhimu,bali wanatazama kuiga mambo.Mf anatazama maigizo anajifunza kuharibikiwa maadili kama binti mdogo anaiga majibu ya...
Kuna fununu sana Arusha kwamba mtoto pendwa ndio anaichukua Hoteli ya Mount meru , na ikumbukwe pia kuna fununu za kuinunua Impala Hoteli ilio kuwa ya Bilionare Mrema. Sasa ni Mount Meru Hoteli...
Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa.
Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina...
Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni...
Sio utani.
Wakuu heshima kwenu.
Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa...
1. Ukipewa simu kama unaoneshwa pengine picha, tazama kisha rudisha na sio kuendelea kutazama picha zingine.
2. Ukipiga simu kama haitopokelewa, tuma meseji na sio kupiga mara nyingi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.