Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget...
3 Reactions
7 Replies
42 Views
Ndiye huyu sasa!Ukifika Tabora karibu sana Urambo.
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
3 Reactions
110 Replies
530 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
222K Replies
17M Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
12 Reactions
73 Replies
1K Views
Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo. Rais...
2 Reactions
7 Replies
164 Views
Ukweli ndioo huo kila siku mtaaan watu wanaongeaa peke yao kama wako na famlia unawaza anaongea na nanii..loh
2 Reactions
8 Replies
206 Views
Habari wakuu,kama titttle inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Dunia inakwenda kwa kasi sana... Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
2 Reactions
16 Replies
359 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,264
Posts
49,824,431
Back
Top Bottom