Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vita vya Ukraine vilianza kwa ushawishi wa Marekani kwa raisi wa Ukraine mpaka vita vikaanza kupiganwa. Tangu vita hivyo vianze mwezi Februari 2022 Marekani kipekee imetoa misaada ya kila aina...
7 Reactions
96 Replies
4K Views
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu. Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
6 Reactions
21 Replies
272 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni...
39 Reactions
190 Replies
7K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
4 Reactions
5 Replies
23 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
9 Reactions
94 Replies
1K Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
0 Reactions
8 Replies
155 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,078
Posts
49,818,577
Back
Top Bottom