Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale...
1 Reactions
5 Replies
59 Views
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
12 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa JF, Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno. Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu...
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
9 Reactions
68 Replies
2K Views
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali. Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
4 Reactions
9 Replies
16 Views
Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
11 Reactions
107 Replies
3K Views
kUNA CLIP INASAMBAAA DC KAFUNGA SIJUI DANGURO LA RIVERSIDE AJABU KATANGAZA BAR ZILIZO KARIBU NA DANGURO ZIFUBGWE HIZI BAR ZINALIPA VIBALI VYOTEE MANISPAAA NA TRA KUNA KIKI ZA KULAZIMISHA ZISIZO...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Wakati unalala ukiwa umewasha feni ama ac hii ndio hali halisi ya Makete
6 Reactions
35 Replies
854 Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
10 Reactions
192 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,969
Posts
49,816,125
Back
Top Bottom