Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Kwema wakuu? Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
20 Reactions
214 Replies
10K Views
Yaani pisi zimekuwa nyingi mpaka unahisi shetani anakutafuta, pisi zipo full ni ww tu tafuta pesa Acha kabisa kubaka watoto watoto Linda mototo wa mwenzio Deal na hzi pisi za kumwaga 18+,
11 Reactions
47 Replies
229 Views
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjjawahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi. Iko hivi huyu kijana nimekutana naye nina kama mwezi na...
31 Reactions
151 Replies
2K Views
TUambiane jamani tujue
3 Reactions
110 Replies
975 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
1 Reactions
119 Replies
497 Views
Bado Siku 11
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez...
1 Reactions
12 Replies
187 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,139
Posts
49,820,921
Back
Top Bottom