Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye...
3 Reactions
10 Replies
188 Views
Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha. Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa...
5 Reactions
50 Replies
789 Views
Habari wana JF, Tamisemi ilitangaza kuhusu mtaala mpya wa elimu ikiwemo na kuongezeka kwa combinations mpya ila mtaani nasikia ya kwamba kuna combinations zimefutwa ningependa mtu anijulishe ni...
1 Reactions
6 Replies
172 Views
First time..... Huyu jamaa alikua anavuka barabara mitaa flani kwenye alama za "zebra", sasa gari hazikia zimesimama uzuri mara ghafla yeye akajiona anaharaaaaka akawa anavuka huku anakimbia. Basi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
11 Reactions
71 Replies
2K Views
Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka...
1 Reactions
2 Replies
27 Views
1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
3 Reactions
36 Replies
236 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
122K Replies
7M Views
Mwenye kujua ufugaji wa kuku za mayaye sehemu ya pwani hususani Dar es salaam kati ya kuku 10,000 hadi 50,000 tafadhari atuelekeze tuende tukajifunze kabla ya kuanza uwekezaji tusije tukapoteza...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Ukraine kwenye hili mumeenda mbali hata mimi shabiki wenu kindaki ndaki nimeingiwa na wasiwasi. Kupiga radar inayotumika na Urusi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nyuklia mtakua mumevuka mpaka...
4 Reactions
12 Replies
932 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,849
Posts
49,730,623
Back
Top Bottom