Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani.
Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Sio utani.
Wakuu heshima kwenu.
Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa...
Hizi story huwa tunapiga sana kuhusu bar za mjini kwamba hata wale wahudumu wa kike utakuta ni waiter au counter ila anakuwa Askari na pale ndo kama kituo chake cha kazi. Ni kweli HakikA kwamba...
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big asses, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
Huo ndio mkwara alioutoa makamu Mwenyekiti wa chadema Mh Tundu Lisu jioni ya Leo
Lisu anasema wamefanya taratibu zote ikiwemo kutoa taarifa Polisi tangu Jumanne na Polisi wamewakubalia na kuahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.