Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Ilikuwa ni asubuhi na mapema mwezi uliopita,nimeamka ili niende kwenye mihangaiko yangu,ghafla nikasikia tumbo kama linakatwa na kisu Ile shwaaaa! Nikashtuka nini hiki,nikajikaza hapo nikaendelea...
9 Reactions
17 Replies
212 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Weengi wanaamini mweusi ni mpenda njia za mkato 'shortcuts' tena hata hajali kama kuna mahali anaharibu au kuna watu anawaumiza Weeengi humu wanaamini mtu mweusi ni ungaunga mwana weengi humu...
3 Reactions
9 Replies
37 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
13 Reactions
118 Replies
2K Views
Mambo mengine yanachekesha Sana, utadhani hawa Watu hawawasiliani.
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
2 Reactions
23 Replies
422 Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
14 Reactions
70 Replies
1K Views
Elon Musk Kwa viwango hivyo vipya, thamani ya Elon Musk imepanda hadi dola bilioni 210.7, huku Bernard Arnault akishikilia nafasi ya pili akiwa na dola bilioni 201, na Jeff Bezos yuko katika...
4 Reactions
26 Replies
751 Views
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari. Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko...
3 Reactions
18 Replies
453 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,110
Posts
49,819,653
Back
Top Bottom