Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
1 Reactions
56 Replies
230 Views
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi. ======= Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Salaam, Shalom, Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana. Kiwanda Cha...
0 Reactions
6 Replies
104 Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
2 Reactions
27 Replies
275 Views
Ilikuwa ni asubuhi na mapema mwezi uliopita, nimeamka ili niende kwenye mihangaiko yangu,ghafla nikasikia tumbo kama linakatwa na kisu Ile shwaaaa! Nikashtuka nini hiki,nikajikaza hapo...
10 Reactions
25 Replies
437 Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivyomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
124 Reactions
152 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,134
Posts
49,820,437
Back
Top Bottom