Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Hali hii hutokana na nini? Utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na...
Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).
Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.