Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad Source: BBC
3 Reactions
8 Replies
426 Views
Washauri wa serikali ni lazima tujue hatuwezi kujifungia tu ndani ya Tanzania wakati majirani zetu wana mali ambazo zinachukuliwa na China, US na nchi za EU. Mimi nafikiri Magufuli anatakiwa...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Suggestion
MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika...
1 Reactions
3 Replies
76 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
32 Reactions
174 Replies
5K Views
Tunakumbushana Tu maana kwa Kawaida Binadamu ana hulka ya kusahau alikotoka Prof Kitila alikuwa Injini ya Chadema na Kafulila alikuwa Injini ya Bavicha Uchumi unapaa haupai? Unapaaaaa...
2 Reactions
17 Replies
439 Views
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
85 Reactions
527 Replies
27K Views
Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
9 Reactions
30 Replies
495 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
Bora tu imetokea kwa Mkenya! Ingelikuwa ni Mtanzania angekiona cha moto kwa mashambulizi ambayo angeyapata mitandaoni😄😄😄 Kiingereza si tatizo kwa wasomi wa Kenya, Rais Ruto akiwemo. Lakini awamu...
12 Reactions
47 Replies
718 Views
A
Anonymous
Habari, Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭. Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
5 Reactions
19 Replies
515 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,472
Posts
49,691,990
Back
Top Bottom