===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Leo kuanzia saa 4 kuna mechi nyingi sana za WC Qualifiers zinachezwa, kwa ngazi ya makundi.
Sisi tulitakiwa tucheze na Elitrea Jumatatu tar 3 ila ilihairishwa.
Hadi sasa mechi zilizopo:
Guinea...
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.