Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
kwa wataalam wa technology humu JF, naombeni msaada wenu hapo, nina simu tajwa hapo juu imenishinda kuitumia kabisa.
Nimejaribu kui-restore nimeshindwa maana ukienda kwenye app ya setting hakuna...
IDADI ya wagonjwa wa akili imeongezeka kutoka 29,166 mwaka 2018/19 hadi 33,287 mwaka 2019/20 huku wanaume wakiongoza, imeelezwa.
Haya yalisemwa jana ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani na...
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
MUDA SI.MREFU TUTAWAPA NA SERKL ZA MITAA WANAVYOONGEZEKA
MH IMMIGRATION FANYEN MSAKO WA GUEST ZA MBAGALA ZAKHEM KILA ALHAMISI MPAKA JPILI
HIZI GUEST NYINGI HUHIFADHI WAETHIOPIA WANAOSUBIRIA...
Shem wangu ananipenda mpaka nimejua. Ni dada wa mke wangu ila kwa maumbile yake anaonekana mdogo kuliko mke wangu.
Mimi nime 'change anyhows' sijui nifanyeje. Namtamani lakini si vizuri...
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.