Yule jamaa wa Wagner kumbe hakufa picha zinazodaiwa kuwa ni zake zaonekana
Hizi picha zinaonekana zilipigwa Chad mwaka huu juzi tu tarehe 22 ikionyesha mtu anayefanana na Prigozhin
Tulisema huyu...
Habari,
Nimepoteza mtu wangu wa karibu sana siku ya jana kutoka Hospitali ya Mloganzila 😭😭😭😭😭😭😭.
Hakuna daktari pale, kuna wanafunzi (interns) tu wanaotoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa aliye...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa...
Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE.
Nahitaji...
Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito.
Kipindi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari Wana JF,
Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.