MISEMO YA WAKOSAJI🤡
Gari lenyele ni la mkopo
Manzi kampendea pesa
iPhone ni simu za showoff
Chakula cha hotel hakina afya— junky
Kila mtu atarudi kaburini mtupu
Wenye pesa hawana furaha maishani...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani...
Habari wanaBodi...
Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na...
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu
2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo
3) Kibaolojia kuna...
Wanabodi
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa...
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.