Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona nisema haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije anza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
Wanabodi
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
"Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Leo ndio nimegundua kuwa kwanini vijana wengi hawaachi hii kitu? Na kila siku idadi ya watumiaji inaongezeka
Leo nilikuw mechili getto alone daah!! Ghafula nikapata hamu ya kupiga nyeto ikaja na...
Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote
Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
Kuteua marehemu katika nafasi za serikalini ni ishara ya tatizo kubwa katika mchakato wa vetting au uhakiki wa viongozi wanaoteuliwa. Mchakato wa vetting ni muhimu kwa kuhakikisha kuwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.