Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu. Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha. Kitu kingine...
20 Reactions
52 Replies
902 Views
Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government) Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP...
0 Reactions
13 Replies
181 Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
44 Reactions
198 Replies
8K Views
Muda mfupi baada ya RC Makonda kusema hatishwi na wanamitandao wanaompigia makelele anapochapa Kazi, mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemjibu Ukurasani X Fatma Karume anasema RC...
0 Reactions
2 Replies
87 Views
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
0 Reactions
16 Replies
100 Views
Tsh. Milioni 10.6 Zapatikana Harambee Katika Kanisa la Waadventista Wasabato la Central Handeni Mjini Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo tarehe 26/05/2024 alishiriki...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Madai ya rafikiyangu msabato kuwa Kanisa Katoliki wanatunza akiba ya Fedha kutekeleza sheria ya jumapili yana ukweli? Wadau hamjamboni nyote? Ni Madai ya rafiki yangu mmoja wa kisabato kuhusu...
4 Reactions
32 Replies
747 Views
SALAAM Imani ya kiyahudi ni imani iliyokuwa na ustaarabu mkubwa kwa kipendi hicho na huenda ndiyo imani iliyozaaa imani nyengine za kidini. Wayahudi akina Abrahamu, Mosses, Daudi, Isaya na...
0 Reactions
59 Replies
548 Views
Kampuni la Kimarekani Apple, maarufu kwa kuuza bidhaa za electronics na accessories zake, wanauza ivyo vitu bei ghali sana. Inawezekana ikawa ni value for money, ila kuna baadhi ya vitu ni wazi...
12 Reactions
44 Replies
657 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania...
7 Reactions
92 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,619
Posts
49,723,002
Back
Top Bottom