Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
5 Reactions
27 Replies
551 Views
Good morning members. "Kua uyaone".Ni maneno aliniambia marehemu mama yangu.Na kweli nayaona leo.Mimi nguva jike napambana wanangu wasiteseke siku za usoni. Nimenunua kijiko cha...
7 Reactions
13 Replies
163 Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
3 Reactions
56 Replies
1K Views
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
17 Reactions
85 Replies
6K Views
Je huyu ataaminika na wawekezaji? PIA SOMA - Breaking News: - Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Ni rafiki yangu sana zaidi ya ndugu. Amenieleza tatizo hilo la kuota ndoto za kufanya ngono na ngedere na hajui tafsiri ya hizi ndoto ambazo zimefululiza kumtokea mwaka huu. Mwenye utaalamu au...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia...
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Leo ndio nimegundua kuwa kwanini vijana wengi hawaachi hii kitu? Na kila siku idadi ya watumiaji inaongezeka Leo nilikuw mechili getto alone daah!! Ghafula nikapata hamu ya kupiga nyeto ikaja na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
9 Reactions
32 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,934
Posts
49,815,200
Back
Top Bottom