Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?. ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani. lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
2 Reactions
47 Replies
295 Views
There is a new trend where people globally are blocking celebrities who are not addressing sensitive world issues, such as the Gaza conflict. It began at the Met Gala when content creator Halle...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao. --- Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
17 Reactions
165 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema anawashangaa wanaojitokeza kusema anawadhalilisha Watumishi baada ya yeye kuwakosoa Wala rushwa na Wazembe wakati Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
2 Reactions
7 Replies
70 Views
Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
3 Reactions
26 Replies
141 Views
Ni Hawa Mwaifunga(Mrs Bananga) ametoa Kali na Siri iliyoko moyoni mwake Kwa Kujitambulisha kwamba ni mwana CCM.😁😁 --- Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga ameibua shangwe bungeni jijini Dodoma...
2 Reactions
3 Replies
31 Views
Tunakumbusha sio kwa ubaya. Tundu Lissu aliwahi kufumua uozo wa kufichwa kwa mabilioni huko nyumbani kwa Magufuli. Hakuna mtu aliwahi kukana Lakini mpaka leo serikali haijatoa tamko kama...
15 Reactions
61 Replies
1K Views
Wakuu nahisi nina kitu. Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa. Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii. Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
11 Reactions
194 Replies
2K Views
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule...
2 Reactions
5 Replies
56 Views
Wakuu sio kila mti unafaa kuoteshwa mazingira ya nyumbani maana kuna inayokuwa mikubwa kiasi cha kupasua hata kuta za nyumba kuna ya kutoa majani mengi kiasi cha kuchafua uwanja n.k Wajuzi...
1 Reactions
27 Replies
602 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,631
Posts
49,723,343
Back
Top Bottom