SALAAM
Imani ya kiyahudi ni imani iliyokuwa na ustaarabu mkubwa kwa kipendi hicho na huenda ndiyo imani iliyozaaa imani nyengine za kidini.
Wayahudi akina Abrahamu, Mosses, Daudi, Isaya na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema anawashangaa wanaojitokeza kusema anawadhalilisha Watumishi baada ya yeye kuwakosoa Wala rushwa na Wazembe wakati Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
Wakuu nahisi nina kitu.
Tafadhali nisibezwe maana hii imekuwa ndoto yangu kitambo sasa.
Sasa nataka mnipe ABC's za namna navoweza kuifikia ndoto yangu hii.
Naanzia wapi? natakiwa kuwa na nini...
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
Habari
Vijana na bangi mnaambiwa sio nzuri amsikii
Kijana mmoja mwenye jina la kihuni maarufu kama baba jojo[19] amchoma kijana mwenzie kisu na kupelekea umauti wa kijana huyo umri miaka[ 17]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.