Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?
Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
Simba SC
Zamalek SC...
Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani...
Wanajanvi Salaam,
Ni matumaini yangu wanajanvi mko wazima na mnaendelea na harakati za upambanaji wa kutafuta mkate wa familia.
Napenda kuleta mlejesho wangu kuhusu safari yangu ya kwenda Mpanda...
Naombeni Jina lake tafadhali au kama kuna mwenye Kumjua amwambie kuwa GENTAMYCINE huwa naunguruma maradufu ya Simba huyo wa Serengeti na Unguruma yangu nikiwa Nabandua / Namlala Mwanamke ni Kubwa...
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.