Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
10 Reactions
86 Replies
2K Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la...
0 Reactions
10 Replies
355 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho...
8 Reactions
30 Replies
802 Views
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
76K Views
Kwema wakuu, Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa...
0 Reactions
6 Replies
20 Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. ---
20 Reactions
153 Replies
11K Views
Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America...
7 Reactions
12 Replies
255 Views
Wanaitwa king cobra kwa sababu wanaweza kuua na kula cobra wenzao. Cobra mfalme mzima ni wa manjano, kijani kibichi, hudhurungi au mweusi, kwa kawaida huwa na mwamba wa rangi ya njano-nyeupe King...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,873
Posts
49,813,570
Back
Top Bottom