Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM).
Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza...
Awali ya yote, naomba nieleze historia yangu kwa ufupi. Nia na madhumuni niweze kujenga picha ya jumla katika lengo zima la uzi huu.
Nilizaliwa katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, Baba yangu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa.
Muungano wa aina...
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Je, ni wafanyabishara wa mabus wanahujumu? Mbona nchi zilizoendelea huko tunaona usafiri aina zote unaendelea meli, treni na mabus yanapiga kazi vilevile.
Kwanini huku miradi hii inasua sua Kwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.
Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo...
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.