Kumekua na Tabia za watu, Baadhi ya Maeneo hasa Miji mikubwa hapa Tanzania.
Watu kufanya mazoezi Barabarani.
Kundi la watu kufanya mazoezi ya kukimbia na kuleta msongamano wa magari,
Kwa mtazamo...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa...
..Maza Abduli anatumia watu wa hovyo kumfanyia propaganda.
..Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu...
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.