Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge ,nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
Hii picha imenichekesha sana ๐คฃ.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Klabu ya Simba imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Steve Komphela ambaye hivi sasa yupo jijini Dar Es Salaam
Simba Sc ambayo imekuwa chini ya...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.