Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa...
Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha.
Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa...
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.
Sasa kafariki...
. Hakuna mwanaume mwenye hasira na wivu mkali kwa mwanamke asiye mhudumia wala kumlipia mahari labda awe mpumbavu. Mauaji mengi ya mwanaume kumuua mwanamke sio kwa sababu ya wivu wa mapenzi bali...
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
VITU VITATU AMBAVYO LAZIMA UVIPATE ILA IKITOKEA HUJAVIPATA USILAZIMISHE, JIPE MUDA
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
SUBSCRIBE CHANEL YANGU UPATE MAMBO MENGI ZAIDI👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Comrade...
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.