Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali...
ILIANZA nikiwatembelea wazazi na mjomba wangu wazee huko Jacksonville, Florida. Hii ilikuwa muda mfupi kabla ya mjomba wangu kufariki miezi michache iliyopita. Kama kawaida, tulienda kwenye...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!..
ujinga wa huyu rafiki...
Mchizi wangu Mmoja alikua kachoka sana, nimekuja kumcheki yuko poa sana ana mzigo kweli kweli nikambana akaniambia bro..nauza sex Toys kumbe ni bonge la deal akaniambia wateja wengi ni wake za...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.