Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...
Wakuu hope salama, polenii na majukumu ya kulijenga taifa na familia kwa ujumla.
Dhumuni la kuandika huu uzi ni namna now navyojiskia, ilikuwa mwaka 2018 baada ya kumaliza chuo nikiwa kitaa sina...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
MBUNGE WANU H. AMEIR APOKEA CERTIFICATE OF RECOGNITION YA KUHAMASISHA UTUNZAJI BORA WA MAZINGIRA
Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge...
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
Rafiki yangu mpendwa,
Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha.
Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka.
Kitu kimoja ambacho watu wengi...
Kwa nyakati tofauti kumekuwa na Viongozi walionukuliwa wakisema "Nchi hii imechezewa sana, Nchi iligeuzwa Shamba la Bibi lakini wahusika hawatajwi. Wapo waliowahi kutoa kauli za Vitisho ikiwemo...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.